Nini unaweza kufanya kama mpenzi wako amekuacha kwa maneno ya kusikia kwa watu

mis lemich

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
207
176
Nini au ni kitu gani unaweza kukifanya kama mpenzi wako akikuacha kwa maneno ya kusikia kutoka kwa watu
 
Kwa huu uandishi mkuu...!
Lazima utakuwa sio wewe uliyeandika, ila ni vidole.

Anyways, nije kwenye mada yako..

Mapenzi yanahusisha watu wawili, mmoja hata kama akiwa tayari ila mwingine hayupo tayari, hapo hakuna mapenzi tena.
Mpenzi wako akikuacha, hauna jambo la kufanya nae tena, hakuna tena mkataba hapo.
Shika 50 zako lala mbele.
 
Hhahaahhaaa.. Imekuwa ni kawaida sana kwa wapenzi wanaoishi mbali mbali kuvunjika kwa mapenzi kwa kisa cha kusikia watu wanayoyasema... Bila kuwa nahushahidi na ndivyo gurudumu linavyoendelea ......
 
Hii yote ni [HASHTAG]#jelous[/HASHTAG] love.... Anaependa kweli toka ndani kwa moyo hayasikilizi ya watu ikiwa mnaaminiana watu ni kazi kusema yawezekana nai wanatamni
 
Hii yote ni [HASHTAG]#jelous[/HASHTAG] love.... Anaependa kweli toka ndani kwa moyo hayasikilizi ya watu ikiwa mnaaminiana watu ni kazi kusema yawezekana nai wanatamni
Inawezekana aliambiwa Mara ya Kwanza.akapotezea Mara ya pili nayo akapotezea na kuanza kukuchunguza. Kwa akili zako ukaona ndio kaambiwa tu na kukurupuka. Mnapopendwa mjue na kuwatunzia heshima wenzenu. Pole
 
Back
Top Bottom