Nina huyu cuzo wangu ana bwana, the guy ana kazi nzuri tu, kapole, he is a gentleman, anampenda sana my cuzo like sana yani and all that (kwa mimi navyomuona).
The problem ni kwamba cuzo wangu...
Hamna kitu ambacho mwanaume hapendi kufanya baada ya kumaliza kufanya mambo yake kama CUDDLING (kukumbatiana) wakati hali ni tofauti kwa upande wa KE.
Mwanaume atakuona unampenda na kumjali kama...
1..Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako.
2..Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na...
Kwa, mujibu wa ripota wetu alioyepo Ngara anasema mahari kubwa inaotozwa na wazazi imesababisha vijana wengi waende kujiokotea wanawake nchi jirani ya Rwanda na Burundi.
Kwani Ngara, ili, uoe...
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi Ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake...
Wanajamvi,
Ni matuamini yangu sote tu wazima wa afya, kwa wale wenye shida na changamoto tofauti tuombe Mungu na tusikate tamaa. Hivi limekaaje hili suala la mtoto wa kike kukaa nusu uchi mbele...
Kuna utafiti naufanya,so ningependa wanawake wa dar mfunguke vilivyo,huwa mnatuchukuliaje wanaume tunaoishi mikoani?ukimuona mwanaume wa mkoani unapata picha gani kichwani mwako mfano?
Hii inakera sana.
Kuna dada mmoja rafiki yangu ameolewa miaka mitatu iliyopita ni msomi na anafanya kazi kama Muhasibu katika kampuni kubwa hapa nchini, wote wanaumri si zaidi ya miaka 30.
Mara...
Natumaini mu wazima wana MMU. siku si nyingi miliwahi sikia mtu akiongea kuwa mwanamke anawezafanya kitu kubadili /kuongeza kdg joto la mwili wake ili kumpagawisha mwanaume kwenye sex.
Naomba...
Wazee wa Jukwaa nawasalimu
Nimekuja kwenu kuomba ushaur mim ni mwanaume niko kwenye uhusiano na binti mmoja na nampenda sana sio kidogo. Naomba nirudi nyuma kidogo ili nieleweke.
Huyu dada...
Sifa za mtafutaji,
Jinsia : Me
Umri : 24yrs
Elimu : Chuo
Kazi : Nimejiajiri
Dini : RC
Kabila : Sukuma
Mahali ninapopatikana : Kanda ya ziwa
Sifa za mtafutwaji,
Jinsia : Ke
Umri...
Salaam,
Nauliza tu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Wengi tunaamini hivyo, hata mahakamani wanaamini hivyo, sasa humu jukwaani hebu tupeane elimu kidogo kuhusu suala hili, nisije...
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.
Wakuu ktk pitapita zangu...
*1. Tamaa ya utajiri*
Fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa...
Wasallaam Wapendwa
Najua wachache wanafahamu kama nimeoa hivi karibuni..Nashukuru Mungu mambo yanaenda poa japo kuna changamoto za hapa na pale...
Ninachotaka kushare nanyi ni juu ya hawa wadada...
Habari wana JF,
Humu ndani nadhani sote tunajua mapenzi, kuna waliooa/olewa na ambao bado, ila karibu wote tunajua mapenzi na wengine mnawaza kuingia kwenye mkataba huo kati ya mke na mme.
Sasa...
Hello friends,
If you are just t home, alone, stressed, hamu ya kula hamna, usingizi hauji, mkikaa na majirani stori haziendi unajikuta ilimradi upoupo tu uangalie muvi wapi, sikiliza muziki...