Sikuzote kumuita msichana Demu huwa siwezi, na hili neno kulitamka kwenye kinywa changu ni zito sana kwakweli. Na kwa nilivyokuwa nikidhani hapo awali nilikuwa najua kama kunmuita msichana demu ni...
Jana nikiwa ktk kijiwe fulani nikicheza drafti alikuja kijana mmoja hivi nimemsahau kwa jina.
Akadai kwamba anampenzi wake ambaye bado ni mwanafunzi wa secondari na kwamba wameanza nae mahusiano...
Wapendwa wana Jf poleni na majukumu, nikawa nimekaa mahali napunga kaupepo, huku nikiishuhudia Jumapili inavyo yoyoma, na hatimae watakao amka salama hususani sisi wakazi wa, asubihi kuanza...
Wakati mwingine maisha ya ndoa hayaitaji usanii hata kidogo maana ndoa ukicheza nayo lazima ikupwelepwete tuu.Kabla ya kuamua kuishi na mtu tafakari na ujiulize hivi niko tayari kupambana na...
Umewahi kulazimisha kupendwa?
Matokeo yake yalikuwaje?
Yawezekana ulilazimisha na kweli utafanikiwa akakubali kuwa na wewe ila ndani ya huyo mtu kuna mtu mwingine anaishi na sio wewe.
Kuna...
DADA ZANGU,MWANAUME WA KWELI MJINI NI KAZI YAKO, MAKOSA WANAYOFANYA WANAWAKE KUANZIA MIAKA 20-28 na 28-35 KABLA NA BAADA KUOLEWA.
samahani lakini
Kuoa au kuolewa siyo LAZIMA japo kuoa au kuolewa...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha Habari hapo juu kinavyosema. Nina rafiki yangu kiumri tunafanana japo sio rafiki kihivyo, pia tulikua majirani lakini kwa sasa nimehama kwa kero za Mama yake...
Wadau,
Mimi leo ni mara ya kwanza kutembelea Nchi hii maridhawa kabisa ya Maj. Gen. PK. Kama yupo "Mswahili"mwenzangu ambaye yuko huku naomba tuwasiliane angalau kupata uenyeji wa kutembea...
Kama mada inavyojieleza
Baada ya kuchoka kuishi peke yangu nikaamua kutafuta binti wa kuishi nae ni mrembo wa 2005
Mwanzo naanza kuishi nae alikua na kamwili fresh kadogo dogo laini tumbo flat...
Nianze kwa kukili kuwa kwa nyakati tofauti nimetoa ushahuri kwa watu mbali mbali ,kulingana na ushahuri uliokuwa unahitajika na hii inachangiwa zaidi na nature ya kazi yangu kwani nimezungukwa na...
Very sad,amekuwa akiweka ujumbe wa ajabu ajabu kwenye wall yake ya Facebook, na sasa hii ndio profile picture yake.
Hii amenza kufanya kama miezi miwili na nusu nyuma, na mbaya zaidi ni kwamba...
Habari zenu.
Naomba kuuliza, mara nyingi watu wamekuwa wakimshambulia mleta habari kama ile habari inamuhusu.Hii imekuwa inamkatisha tamaa.
Mleta habari,hasa huku MMU utakuta wanamsimanga...
Yes atarudi kwako
Yes atazaa watoto
Ataitwa mama fulani
Lakini huyo si mke wako.
Wewe umeshindwa kumpa mahitaji yake muhimu mpaka ameamua akaajiriwe.
Hata kama ulimkuta ameajiriwa kama huduma...
Sijasema haya kwa muda mrefu. Wala sijui nitakavyoeleweka. Lakini najua si mimi peke yangu. Kuna wanaume wengi tuliokaa kimya, si kwa sababu hatuna la kusema, bali kwa sababu tumezoea kwamba...
Binafsi nipo kwenye ndoa takribani miaka mine na tumebarikiwa watoto wawili. Changamoto zilianza mke alipohamishwa kikazi mwaka juzi kutoka Dar kwenda Morogoro.
Kutokana na ukaribu nikawa...
Huko nyuma nilifanyaga mistake nikajikuta nimemla mke wa mtu bila kutarajia,nimejifunza tuu kuwa kama umewahi kutembea na mwanamke kumrudia Tena ni swala la kugusa tuu.Basi baada ya tukio Hilo...
Heshima kwenu mabibi na mabwana.
Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusiana na suala la usagaji kwa wasichana bila kupata jibu stahiki.Baadhi ya wasichana wanadai kwamba kuachwa na wapenzi wao...
Leo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.