Nini chanzo cha usagaji kwa wanawake?

Nini chanzo cha usagaji kwa wanawake?

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
417
Heshima kwenu mabibi na mabwana.

Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusiana na suala la usagaji kwa wasichana bila kupata jibu stahiki.Baadhi ya wasichana wanadai kwamba kuachwa na wapenzi wao mara kwa mara kunachangia kwa kiasi kikubwa wao kujiingiza katika mapenzi ya jinsia moja,

wengine wanadai kwamba shule za boarding zinawasababishia kujiingiza katika mambo haya kwani muda mwingi wanakua wao wenyewe tu bila kujichanganya na wavulana.

Nini maoni yako wewe mwanajamvi,karibuni wakinadada muweze kutupa ukweli wa hili jambo,wavulana pia mnaruhusiwa kuchangia chochote ili tupate mawazo tofauti tofauti.

Asanteni
 
Ni ushenzi, mambo ya kuiga na kushikana akili,kukosa misingi thabiti yamaisha na unachokisimamia, kujichoka, kutojitambua, kukata tamaa ya maisha, na ujuaji mwingi ndo unasababisha
 
Tatizo kubwa no disapointment zinazofanyq na wavulana ambazo husababisha wasichan kuangalia planned b, pia shule za girls tupu kuna ma tomboy wengi sana ambapo hupenda kusaga, lakini pia ni homoni zinazosababisha msichana kuvutiwa na msichana mwenzie lakini kubwa zaidi ni GloBalization things like lesbian phonography zinasababisha mabinti kujiingizo
 
Wanasaga nini? ulitaka wasage bamia ?:A S 465:
 
tatizo hamtugusi gusi vizuriiiii..

Hizo ni among ya reason mojawap ambay kwa neno moja n dissapointment of boys to girls is kushindw kufanya mapenz effectively, usaliti, kuringa au pozi nk
 
Halafu sijui kwa mwanamke aliyezoea mchezo huo akiolewa sijui inakuwaje?.
 
...jf sikuizi full upumbavu...
 
Back
Top Bottom