Wapendwa wana Jf poleni na majukumu, nikawa nimekaa mahali napunga kaupepo, huku nikiishuhudia Jumapili inavyo yoyoma, na hatimae watakao amka salama hususani sisi wakazi wa, asubihi kuanza kukimbizana na usafiri kwenda makazini kuusaka Mkate.
Katika kuwaza hili na lile nakumbuka enzi za mapezi ya kuwasiliana kwa barua wakati huo simu hakuna, ukiweka ahadi na Mpenzi wako hakikisha mahali pakukutana panaeleweka, na ikitokea umefika na mpezi hajotokea utasubiri mpaka utatia akili vinginevyo huna jinsi ya kuwasiliana nae ili kujua nini kimemsibu. Nani anakumbuka zama hizo au visa vya mahusiano ya kipindi kile?