Kila anayenitongoza siwezi kumkatalia nifanyaje?

Kila anayenitongoza siwezi kumkatalia nifanyaje?

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,214
Nianze kwa kukili kuwa kwa nyakati tofauti nimetoa ushahuri kwa watu mbali mbali ,kulingana na ushahuri uliokuwa unahitajika na hii inachangiwa zaidi na nature ya kazi yangu kwani nimezungukwa na vijana wengi.

Lakini leo nimekwama ,nikaamua kusubirisha ili anipe muda ili niweze kufikiri ni kitu gani ni mshahuri,ndipo nikaamua niwashirikishe mnishahuri ili nami ni mshahuri .Ushahuri wenyewe unahitajika katika hili.

Leo jioni saa 10 nilipigiwa simu na binti mmoja akiniomba nimjulishe nilipo ili tukutane kwani alikuwa na shida na anaamini nitaweza kumtatulia shida hiyo.Ndipo nilipo muelekeza sehemu ya kukutana.Alipofika alinitaka radhi kwanza Kisha akaanza kuniomba nimpe ushahuri kwa hili lililomkuta.

Nanukuu:"Kaka mimi nina tatizo na sijui nifanyeje, kama unavyojua nimehamia hapa yapata miezi 7 iliyopita lakini Kabla sija hamia hapa nilikuwa na mpezi wangu ambae nilitegemea Kuwa atakuwa mme wangu,lakini Kwasababu ya maisha nimehamia hapa na nimekosa mawasiliano nae yapata miezi sita.

Lakini naomba ujue pamoja na urafiki na huyo kaka sijawahi kushiriki nae tendo la ndoa na sikuwahi pia kushishikiana na mwanaume yeyote Kabla ,lakini chakushangaza mwezi mmoja uliopita nilikutana na mvulana mmoja aliekuwa kaka wa rafiki yangu ,siku ya kwanza tumekutana tulikumbatiana ki kawaida kwani siku hiyo walikumbatiana na dada yake Kisha akakumbatiana nami pia.

lakini kitu cha ajabu mwili wangu uliishiwa nguvu nikaingia kwenye hisia mbaya za mapenzi Kisha tuliondoka mimi na rafiki yangu tukarudi nyumbani lakini jambo Hilo lilinitesa sana ,ndipo nilipo amua kumuomba rafiki yangu namba ya simu ya kaka yake ,nilipigia simu nikaomba tukutane tuweze kuongea.

Siku hiyo alikuja kwangu alipoingia tu sebuleni kama alivyofanya siku hile alinikumbatia tena niliishiwa nguvu tena nikaendelea kumshikilia mpaka akanichukua na kunikalisha kwenye kochi ndipo nae akaona udhaifu niliokuwa nao tulifanya tendo la ndoa hapo sebuleni ,ingawa siwezi kusimulia mengine ,lakini baada ya wiki mbili alikwenda zake Zambia kimasomo,tukiwa bado kwenye mahusiano.

Sasa baada ya hapo nimeshangaa kila mwanaume anaenitongoza sina uwezo wa kumkatalia kwani mpaka sasa nimetembea na wanaume nane na naona hii hali inaninyima raha na sijui ni nini kimenikuta. Naomba ushahuri wako kaka sijielewi" mwisho wa kunukuu.

Wana Jf ingekuwa ni wewe ungempa ushahuri gani.
 
Eti hana uwezo wa kumkataliakwani unalazimishwa?
hana lolote anajilahisisha tu kwa wanaume.
 
Aawali alisema hajawahi date na mwanaume mwingine inamaana huyo ndo boy wake wa kwanza kwa maana hiyo ni kwamba alikua hajaonja asali sasa kaionja na kajua utamu wake ndo maana hawezi kataa mzinga wa nyuki.

cha msingi akaombewe
 
Kwa kutumia tu akili ya kawaida utagundua kuwa huyo dada...halimashauri ya kichwa chake haina ushirikiano...kwa kuwa anatumia sana hisia kuliko uhalisia...akianza kutapika na kuharisha kama bata ndio atapata jawabu...
 
Anashindwa kuwakatalia ina maana anakuwa nao wote nane kwa wakati mmoja? au anaacha mmoja anaenda kwa mwingine?
1. Mkumbushe juu ya madhara ya kuwa na mahusiano na wanaume wengi
2. Je anaridhika na huyo aliyenaye? Nini hasa kinamsukuma kuwakubalia,ni hela,tendo lenyewe au ni nini?
3. Ni nini anachokitaka kwa mwanaume?Na je katika hao wote hizo sifa wanazo?

Ni ngumu kumshauri mtu jambo la ndani hivi bila kujua kinachomsukuma kufanya hayo yote.
 
A bomb detonates not because of what surrounds it because of what is inside of itHuyu dada kajitahidi kujitunza kwa muda mrefu but a human being can only resist so far kinachotokea ni kama analipiza muda wote alioumwa UPEMWI (Ukosefu wa Penzi Mwilini) ambacho sijaelewa ni inakuwaje anweza kutembea na wanaume wote hao kwa muda mfupi hivyo? anawamanage vipi is what I mean. au ndo "goodmorning means goodbye"

Anyway mwambie ajaribu kufanya vitu vya kudivert mawazo,like kusoma non-romantic novels na kuangalia non-romantic movies..vilevile kama kuna uwezekano wa kuwa kuna mmojawapo katika hao 8 ameridhika naye kimtindo.

basi ajitahidi kuwa naye muda mwingi.Na wanajamvi dont condemn her...anajua ni tatizo and she is not happy about it ndio maana kaomba ushauri..inaonekana hamuwezi kufanya kazi katika clinic za alcohol na drug rehabilitation..mtawaambia wagonjwa "si unajua haifai? acha tu"!!!! unadhani angekuwa na uwezo wa kuacha angekuja clinic?
 
It means yule jamaa wa mwanzo keshatupwa kule kifupi huyu binti hajui akitakacho,alidhani wote hao 8 watakuwa na test ya yule wa mwanzo, kagundua sio, na kajistukia kuwa atagongwa na watu kibao bila kupata ile ladha ya mwanzo,swali ni is the first 1 exist? amtafute awe nae karibu, kama haiwezekani akubali matokeo yake kuwa nafanya umalaya, na mwisho wake ni mimba zisizo rasmi na akikwepesha sana ARV zipo.

Nakutakia ushauri mwema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom