Nitajinasuaje kwenye huu msala?

Likasu

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
843
405
Leo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua ni kweli. Sasa amerudi kwangu eti anasema nilikuwa najua kabla. Anahisi kuna namna si bure.
 
Pole sana
 
Haya ndo matatizo ya kutoaminiana,ni kazi sana,mweleweshe kuwa elimu ya kujua hayo ipo na hata yeye akitaka kujifunza atajua tu,sio lazima uwe mmekaa utupu!
 
sasa wewe ulijuaje?na kwanini ukimbilie mambo ya hedhi kabla hata hujamuuliza kwanini kakasilika,kwanini hukufikilia sababu nyingine?.kama hunanii utakua unamtamani.hadi my wife wako akumind ina maana hauaminiki.acha hiyo tabia.utaaibika siku moja.mia
 
Mwambie tu kwenye somo la baiolojia mlifundishwaga dalili moja wapo ya MP kwa mtoto wa kike ni hasira..........so ulikuwa unajaribu kupractise ulichofundishwa kwenye somo hilo!
 
Mwambie hata yeye akiwa kwenye hedhi huwa na hasira lakini yeye hajijui tu
 
Leo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua ni kweli. Sasa amerudi kwangu eti anasema nilikuwa najua kabla. Anahisi kuna namna si bure.
Mheshimiwa Likasu,kama my wife wako kakasirika kwa wewe kujua hilo,dawa yake mchomekee tu,mwambie nawewe nadhani unakaribia kuingia katika cku zako,ndio maana umekasirika jambo dogo tu kama hilo..lol!..natania tu comrade,..pole mkuu kwa masahibu hayo,jitahidi mueleweshe shem kwa nini umehisi hivyo atakuelewa tu naimani wewe ni mwalimu wake bora ndio maana alikukimbizia kilichomtatiza.
 
Mwambie tu kwenye somo la baiolojia mlifundishwaga dalili moja wapo ya MP kwa mtoto wa kike ni hasira..........so ulikuwa unajaribu kupractise ulichofundishwa kwenye somo hilo!

Sure, mweleze tu kuwa huyo ni binti mdogo, ambaye kwa experience ya kawaida ya kiutu-uzima unaweza ukaelewa anapitia nini...
Tena mchombezee kwa utani wa kumkumbusha na yeye (mean wife wako) enzi zake.....
Lakini pole sana kaka
 
Mwambie hata yeye akiwa anakaribia zake hua unajua tu kutona na mood yake....
 
Mkuu mwambie tuu hiyo ni biology tuu ya kawaida mliyosoma olevel na one of the characteristic za hao viumbe wakiwa kwenye mambo yao ni hiyo ya hasira na kuumwa hata tumbo. Duh mbona kitu simple sana wala hakihitaji ugomvi
 
Leo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua ni kweli. Sasa amerudi kwangu eti anasema nilikuwa najua kabla. Anahisi kuna namna si bure.
<br />
<br />unalo hilo bro, mwambie shemeji hilo nikawaida kwao
 
Likasu.... hii ndio ile situation ambayo wanaume inatakiwa wajibu majibu ambayo yako considerate - in the sense wewe sio mgeni na mkeo... yaani mpaka leo hujamsoma kua sio muelewa hivo kuna mambo ambayo ni muhimu kuepeka kutamka kwake? Hasa kama yataleta msala... Maana kama angekua ni muelewa kitu cha kwanza angetaka kujua ni kama akiwa katika siku zake she is in the same mood...

Hapo huna jinsi... zaidi ya kuomba msamaha na kumweleza ukweli wa jinsi gani uliweza predict - ikiwezekana mwambie hata ulisoma article....
 
Mwombe msamaha kwa kujua dalili zao za mp, mwambie hutarudia tena kujua maana inakugombanisha japo hata yeye huwa na hasira wakati wa siku zake. Pole sana mkuu.
 
Back
Top Bottom