By DAYAN MASINDE
The good thing about having a lover you are close to and free with is that you two can have fun that no one will get to be part of. Life can be too serious, you two can spice up...
Natafuta Mke mwenye maadili mema, mwenye tabia ya upole ,uvumilivu uaminifu na upendo wa dhati kwa mume. Awe na umri kuanzia miaka 25-38 kabila lolote.umri wangu miaka 40 , aliyetayari ani pm.
Unakuta mdada nyonyo zishakuwa saa 12 jioni, mwili huo mkubwa halafu utasikia mi bado mdogo sana, mwingine unakuta ana watoto wawili tena kila mtoto na baba yake lakini anajiona bado mdogo...
Kweli nimeamini mapenzi hayana mwenyewe na huku waswahili husema ukistaajabu ya Mussa…… hapo waweza malizia mwenyewe. Hii tunaiona kwa Mzee Willy Kinyua (98) baada kufunga ndoa na Joyce Nyambura...
Kuna binti anaitwa Debora yupo kwenye kipindi cha Star Magazine anatoa changamoto za mabinti wa kazi za ndani.
Ametoa story hapa kwamba alikuwa akifanya kazi za ndani Ngara baadae akatoroka...
Wanaume wengi tumekuwa tunatishwa sana na mwonekano wa wanawake kwa sasa, kwanza wengi wao wamepoteza uhalisia.
Ukimtathmini mwanamke nywele mpaka kucha gharama alizotumia, unaogopa, maana wengi...
Becouse of her now nimekuwa mtu wa tilalila kila siku. Ananisimulia jamaa akiwa chichazi. Ujue mimi nilikuwa sinywi kabisa, mke wangu ndiye alikuwa mnywaji.
Kwa vile nampenda sana mke wangu...
MKE NITAKAYE MUOA:
1. Sitaki mke wa kupewa.
2. Sitaki kurudishiwa mke au demu wangu wa zamani.
3. Sitaki kulazimishwa kuoa type ya mke nisiyemtaka.
4. Mke wangu term hii atatoka MKOA wa DSM au...
Maisha ya kisasa yanashereshwa na utitiri wa mikopo,mkono wa gari, funcha,kiwanja nk.Mkopo si mbaya tatizo ni pale unapogeuka kuwa deni.
Utitiri wa madeni huleta kero na hasira muda wote kwa...
Nimekuwa nikisikia suala hili Mara nyingi kutoka Kwa wajuzi WA mambo ya faragha Bila kuwa na uhakika WA usahihi WA suala Hilo,wapo pia watu wazima zaidi waliowahi kufikia hatua ya kunihusia nisioe...
Nawasalimu wote humu ndani wakuu,
Nimepanga kufunga ndoa takatifu tarehe 25,02,2017 wiki mbili kutoka sasa na mimi na mpenzi wangu tumeona ni vyema twende South Africa kwa ajili ya honey moon...
Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, we shall...
Sabalnuru waungwana,
Katika maisha kuna mambo mengine lazima ukubali yalishakupita, katika huwezi tena kuyafanya. Iwe ni kwasababu ya umri, wadhifa ulionao au umri wa watoto wako. Wale mashost...
Jamani mimi hua nabishana na watu sana kuhusu michepuko !
Eti mchepuko inatakiwa awe mkali kuliko mke/mume wako ?
Au inatakiwa awe anazidiwa na mke/mume wako ?
Kwa nini ?
Ni pale ambapo ndani ya siku mbili nimeshuhudia wanaume wawili wakijinyonga, WA KWANZA mfanya biashara na wa pili Mwl, hawa wote inasadikika ni kitokuwepo kwa uelewano na wake zao.
Sasa swali ni...
Pamoja na kuchanganyika na kucheza pamoja lakini sio watoto wote mtaani wanatumia madawa ya kulevya. Wako watoto ambao hawavuti hata sigara ya kawaida ingawa wanaishi pamoja kwenye nchi, mkoa...
Ukiwa na mchumba ambaye anaamini katika muonekano wa umbo lake la nje na kafanya uwekezaji mkubwa kwa umbo lake la nje kwa dressing table yake kuwa na vipodozi vya gharama huku kabati la nguo...
Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba,
ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani,
Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa,
mtoto wa watu amewakataa wanaume kibao...
Rafiki yangu kipenzi babu kipara wa vingunguti anadikitika kutangaza kifo cha mke wake kipenzi aliyefariki juzi hospital ya muhimbili baada ya kufanyiwa operation ya uzazi, shemeji katuachia mtoto...