Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,794
Sabalnuru waungwana,
Katika maisha kuna mambo mengine lazima ukubali yalishakupita, katika huwezi tena kuyafanya. Iwe ni kwasababu ya umri, wadhifa ulionao au umri wa watoto wako. Wale mashost wa over 35, kisa hujaolewa unatoka na katoy ka 25, ninajua wengi watasema age is just a number.
Kesho wale wavulana wa mtaani wanaanza kukusalimia mambo sisiter, unasema vijana hawana adabu hawa, shikamoo yangu iko wapi. Shikamoo ipi na jana kitoy kiliwaeleza Sabena lako lote kwa kitanda.
Wengine bado wanaenda kuazima nguo, sasa wewe, kama fashion hii imekupita kwakua huna pesa haya mambo ya Kwamtogole tena ya kwenda kuazimana nguo yanatoka wapi?