Wazee wa test before use, Bi mkubwa katupa jiwe gizani

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
7ea7abb4474f318504990f7bda861b43.jpg
Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba,
ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani,

Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa,

mtoto wa watu amewakataa wanaume kibao
Amepoteza muda wake kwaajili yako
Amekuamini wewe
Ametulia anajua ndoa inafuata hivi karibuni halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza ndoa na mtu mwingine.

Akikuuliza sababu ya
kumuacha yeye
unasema siwezi kuoa
Mwanamke hajui kukatika
kitandani
nataka kuoa fundi wa
kumiliki kitanda, Ulimfundisha??

Kwani unaoa mke wa
kujenga nae Familia au
unaoa mke wa kwenda
kufungua
bendi ya kukata viuno??

Maana kama nia yako ni kupata
mke anayekatika basi ungeenda
kuoa Wanenguaji kwenye
bendi ya
Akudo Impact.

Mnaumiza watoto wa watu
kibwegebwege na sababu za
kijinga,
Kwani utakula kiuno
all ur life?
Au mtajenga uchumi wa familia kwa kukatika kitandani??

Acha kucheza na hisia za wanaweke wewe.
[HASHTAG]#Ninajali[/HASHTAG]

Nimetupa jiwe kizani kama limekukuta nisamee bure.
 
Jamani acheni kuzingua ghafla gafla ,uwe unazingua kidogo unaacha taaratibu mwendo mdundo unaendelea pia uache kutangaza ndoa na mtu mwingine uwe unachop na kufunga biashara ya kutangaza achaa

Jock
 
7ea7abb4474f318504990f7bda861b43.jpg
Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba,
ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani,

Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa,

mtoto wa watu amewakataa wanaume kibao
Amepoteza muda wake kwaajili yako
Amekuamini wewe
Ametulia anajua ndoa inafuata hivi karibuni halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza ndoa na mtu mwingine.

Akikuuliza sababu ya
kumuacha yeye
unasema siwezi kuoa
Mwanamke hajui kukatika
kitandani
nataka kuoa fundi wa
kumiliki kitanda, Ulimfundisha??

Kwani unaoa mke wa
kujenga nae Familia au
unaoa mke wa kwenda
kufungua
bendi ya kukata viuno??

Maana kama nia yako ni kupata
mke anayekatika basi ungeenda
kuoa Wanenguaji kwenye
bendi ya
Akudo Impact.

Mnaumiza watoto wa watu
kibwegebwege na sababu za
kijinga,
Kwani utakula kiuno
all ur life?
Au mtajenga uchumi wa familia kwa kukatika kitandani??

Acha kucheza na hisia za wanaweke wewe.
[HASHTAG]#Ninajali[/HASHTAG]

Nimetupa jiwe kizani kama limekukuta nisamee bure.
Make your point.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom