Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Maisha ya kisasa yanashereshwa na utitiri wa mikopo,mkono wa gari, funcha,kiwanja nk.Mkopo si mbaya tatizo ni pale unapogeuka kuwa deni.
Utitiri wa madeni huleta kero na hasira muda wote kwa mdaway, wengine hunenepa kiasi cha kufikiri labda ana raha la hasha,ni mpangilio mbovu wa homini.Mabadiliko haya husababisha vijana wengi mijinI kuwa watumwa wa madeni kiasi cha kupungukiwa nguvu za kiupelelezi. Matokeo yake sasa hawa vijana wanaosha magari au watu ngua nazi sababu hawana msongo wa mawazo kulikuta katika wakati mzuri kugegeda masista duu bure bure kwa njemba nyingi huwaza madeni yasiyolipika huku wakitaka kuishi maisha ya juu.
Ushauri wangu ni kuwa mikopo mingi ni Janga pale inapogeuka madeni kwani akili badala ya kufikiria ustawi wa mwili hufikiri jinsi ya kuwahawaa wanaokudai.