Hivi kwanini wanawake hung'ang'ania udogo?

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
50,275
70,666
Unakuta mdada nyonyo zishakuwa saa 12 jioni, mwili huo mkubwa halafu utasikia mi bado mdogo sana, mwingine unakuta ana watoto wawili tena kila mtoto na baba yake lakini anajiona bado mdogo (mshakua)
Kuna wamama watu wazima nao kujikimbiza na vidada vidogo sio rika lao kuvaa kama mabinti zao yaani hawaukubali ukubwa katu, kwaninii?

Nimegundua wanawake wanapenda sana udogo na nahisi umri ungekuwa unagota wengi wangefurahi kweli, bora basi hata ukute kabinti chuchu zimesimama hakajazaa kajiite kadogo, wewe ushazaa tayari au hujazaa lakini nyonyo hizo kama za isha mashauzi una udogo gani ushatembea na mabwana tofauti udogo unaotoa wapi.

Kuna dada hapa anapenda sana kuwa mdogo lakini ukimuona yarabi unajiuliza huo udogo upo wapi? Mi nadhani ukishafikisha 19 kuendelea we ni mkubwa una maamuzi yako kabisa au utasikia yaani yule mkubwa kweli anajilinganisha na sisi wadogo mliambiwa hamkui mtakomea hapo hapo.

Au wakitukanana utasikia siwezi mjibu bibi mimi, jamani wewe hautakuwa bibi utabaki hapo hapo, acheni ushagingi usiokua na maana kila mtu atakua na atazeeka na unaweza kufa hata hujazeeka kwa hiyo yote kua amani na umri ulionao.

Asanteni
 
Hao hao wanaojiita wadogo ndio huwa nawapenda..
Wakubwa huwa wasumbufu sana, kila mmoja hujifanya geti kali hata kama yupo uswahilini..
 
Umenikumbsha kitu mkuu kuna mama mmoja huyo ni nyumba ndogo ya dingi angu mzaz nliwahi kuifuma facebook ac yake nkajaribu kuptia profile lake nkabak mdomo waz baada ya kusoma ... DATE OF BIRTH DD/MM/1994 wakati huohuo firstborn wake amezaliwa 1993 nkasema huyu mama vp jaman who does she fool????
Anadanganya hv mpka kupitiliza kwa manufaa ya nan????
Lkn nkaufyata mpka leo ndio dinazed umefanya nkakumbka looooh kizaz muflis hiki kabisa
 
Kumbe na wanawake type ya Le mutuz wapo!

Umri ukienda haurud nyuma, weng wanaojifanya bado wadogo walichezea udogo wao na wakatumbukia tundu bovu

Wameshtuka umri sio wao tena
 
Back
Top Bottom