Nawasalimu wote humu ndani wakuu,
Nimepanga kufunga ndoa takatifu tarehe 25,02,2017 wiki mbili kutoka sasa na mimi na mpenzi wangu tumeona ni vyema twende South Africa kwa ajili ya honey moon, nilikua naomba ushauri kwa waliowahi kufika huko, ni sehemu gani nzuri za kutembelea wapi tutaenjoy zaidi, wapi tutapata privacy nzuri tuweke historia yetu nzuri kwa muda wa siku 7 tu.
Nakaribisha maoni wakuu.
Natanguliza shukrani za dhati.