Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,829
Ukiwa na mchumba ambaye anaamini katika muonekano wa umbo lake la nje na kafanya uwekezaji mkubwa kwa umbo lake la nje kwa dressing table yake kuwa na vipodozi vya gharama huku kabati la nguo likiwa namna hiyo.
Yote haya yakiwa hayaendani na uwezo wa kipato chake, kwa maana ya kuwa kazi anayofanya haiendani na gharama ya vile alivyo navyo.
Ujue unaoa umasikini wa kukutosha na stress za kukuua
Yote haya yakiwa hayaendani na uwezo wa kipato chake, kwa maana ya kuwa kazi anayofanya haiendani na gharama ya vile alivyo navyo.
Ujue unaoa umasikini wa kukutosha na stress za kukuua