Huyu binti Star TV atavunja ndoa ya mtu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,820
117,373
Kuna binti anaitwa Debora yupo kwenye kipindi cha Star Magazine anatoa changamoto za mabinti wa kazi za ndani.

Ametoa story hapa kwamba alikuwa akifanya kazi za ndani Ngara baadae akatoroka kutokana na baba kwenye nyumba kumtaka kimapenzi. Anasema aliacha ujumbe kwa mama mwenye nyumba kwamba asipate shida ameondoka lakini hakumuweka wazi kuhusu mumewe.

Ameongeza kuwa aliyekuwa bosi wake Ngara kwa sasa wapo naye kama ndugu kwa sasa na hata anapopata safari za Ngara hufikia kwake

Sasa najiuliza, kwa kuwa amekiri mpaka sasa hakuwahi kumuweka wazi mama yake mlezi wa Ngara kuwa mumewe alikuwa anamtaka kimapenzi,Je baada ya baba kuchwana live Star TV hali ya ndoa ya hao waliokuwa mabosi wake itakuweje?
 
Lakuvunda halina ubani

Kavumiliaa weee
Kachoka leo
Kaamua kuweka
Waz roho yake isuuzike

Deborah ila nmemis ka
Voice kake
 
Hivi na kwenu Statv hua inakata matangazo kila mara? Au ni hichi king'amuzi tu nnachotumia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom