Mke nitakaye muoa....

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
itv.jpg
MKE NITAKAYE MUOA:

1. Sitaki mke wa kupewa.
2. Sitaki kurudishiwa mke au demu wangu wa zamani.
3. Sitaki kulazimishwa kuoa type ya mke nisiyemtaka.
4. Mke wangu term hii atatoka MKOA wa DSM au MKOA wa Kilimanjaro.
5. Sitishwi na kutishiwa kuwekewa jeshi eti ni kikataa kumuoa mwanamke Fulani.
5. Mapenzi haya lazimishwi na ukilazimisha unaweza sababisha vifo.

Deogratius Kisandu
 
Hongera kwa kujitambua Mkuu. Mabinti wa Dar na Kilimanjaro kaeni mkao wa kula kuna muoaji anataka kujiongeza katika mkoa mmoja kati ya hii miwili au "akaoa" ndani ya mikoa yote.

MKE NITAKAYE MUOA:

1. Sitaki mke wa kupewa.
2. Sitaki kurudishiwa mke au demu wangu wa zamani.
3. Sitaki kulazimishwa kuoa type ya mke nisiyemtaka.
4. Mke wangu term hii atatoka MKOA wa DSM au MKOA wa Kilimanjaro.
5. Sitishwi na kutishiwa kuwekewa jeshi eti ni kikataa kumuoa mwanamke Fulani.
5. Mapenzi haya lazimishwi na ukilazimisha unaweza sababisha vifo.

Deogratius Kisandu
 
A truth about life.
Huwezi kupata mke kwa staili ya aina yako.
Play your own part,
have your own change.
( 6 * 6 * 6 )
19 - of feb -
 
Back
Top Bottom