TANZIA: Mke wa rafiki yangu

Rafiki yangu kipenzi babu kipara wa vingunguti anadikitika kutangaza kifo cha mke wake kipenzi aliyefariki juzi hospital ya muhimbili baada ya kufanyiwa operation ya uzazi, shemeji katuachia mtoto mchanga tumpeni moyo kaka yetu

Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.......
Poleni sana ndugu na jamaa. Mungu amlaze mahali pema peponi AMINA
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu na faraja wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao.
 
Hakika tumeumbwa kwa udongo na tutarudi mavumbini..... Pole sana kwa wafiwa...Njia yetu ni moja
 
Back
Top Bottom