Ugomvi ndani ya nyumba unaweza kufanya ujinyonge?

Mazezele

Member
Dec 30, 2012
28
7
Ni pale ambapo ndani ya siku mbili nimeshuhudia wanaume wawili wakijinyonga, WA KWANZA mfanya biashara na wa pili Mwl, hawa wote inasadikika ni kitokuwepo kwa uelewano na wake zao.

Sasa swali ni kweli kwamba wanaume tumeshindwa kumudu changamoto za Maisha hasa pale panapotokea ugomvi wa mke na mme? MAREHEMU WOTE wapo motuari ya Wilaya, mmoja tutamzika hapa na mwingine tunamsafirisha.

RIP Wananzengo.
 
Wapi huko mkuu? Unaweza ukawehuka kwa maneno ya hawa viumbe. Kwangu hapa alilianzisha asubuhi hii, vimaneno vya ajabu ajabu. Ilibidi niwe matumla mdogo kurudisha heshima. Majuzi tu alitembelewa na mama yake, walikaa 10hrs,baadaye nikaona amebadilika ghafla. Nimetoka,nitarudi usiku.
 
Wapi huko mkuu? Unaweza ukawehuka kwa maneno ya hawa viumbe. Kwangu hapa alilianzisha asubuhi hii, vimaneno vya ajabu ajabu. Ilibidi niwe matumla mdogo kurudisha heshima. Majuzi tu alitembelewa na mama yake, walikaa 10hrs,baadaye nikaona amebadilika ghafla. Nimetoka,nitarudi usiku.
Umechapa mtu ngumi asubuhi hii?
 
Kuna mama wakwe huwa wanajifanya wajuaji sana kila kitu wanataka kukotrol nyamba za binti zao , Dawa yao ni kuwa na nyumba ndogo tuu na ukifika kwake akitaka dushe mpige nao kweli kweli
 
Niko kwenye harakat za kuongea na mchungaji ama wachungaji niweze kujua kwamba je mtu ambae anajinyonga kwa ajili yako je inaweza kutia doa maisha ya muhusika?
 
Mnakosea mnaposema wanaume 'wamudu changamoto'...wanaume wana emotions,kama wewe mkaka unajskia kulia,lia tuu,ukilia utajiskia better wakati unatafuta uvumbuzi wa tatizo lako,tatizo tunawalea watoto wa kiume wasilie kisa ndio 'udume' tunasahau na wao ni viumbe kama sisi,wana 'udhaifu' .....hayo matokeo ya kujinyonga ukute hawakuwa na sehemu ya kutolea yanayowakumba,na sie wanawake tupunguze kauli chafu,akifa mumeo unabaki mjane kisa kuropoka mmnh
 
ki ukweli ugomvi ndani ya nyumba unaweza kukufanya ujinyonge lakini hawa wanaojinyonga ni wale wasio na alternative a.k.a mchepuko yani wale wasio na matawi mke mmoja kama mama yako au wasio na kifua cha kuvumilia
 
Tema mate chini, yasikie kwa watu hvyo hvyo.

Nlishaapa sitakaa nimpende mwanamke yeyote yule 100 / 100.
 
Unashauriwa ukiwa stressed utafute mbinu yoyote uyatoe ya moyoni either kwa rafiki ama ndugu
Nahisi matokeo ya kujinyonga ni ile hali ya upweke . . .mtu akiwa mbele za watu anajifanya ndoa yake ni nzuriiiii ila akiingia ndani sasaa

Wanaume wa mikoani acheni tabia ya kujinyonga. . .mnatakiwa muone faida ya michepuko sasa

RIP waliojinyonga
 
Kujinyonga kunahitaji ujasiri mkubwa sana,mjinyongaji aheshimiwe sana..kama kuna anayebisha ajinyonge kisha aje atupe mrejesho ujasiri aliotumia.sina ujasiri huo
 
Back
Top Bottom