Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Wadau,
Sijui ni tatizo au mimi sipendi mchumba wangu avae khanga au sketi tukiwa wawili home napenda avae nguo fupi, nyepesi nyepesi vibukta vidogo kama profile picha yangu.
Je, wewe uwaga unapenda avaeje mkiwa wote home?