Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 104
Napenda mnishauri kwa hili jambo ambalo mimi huwa linanitokeaga kila ninapokutana nae Girl yeyote katika mahusiano lazima nimpe mimba.
Ni wapenzi wangu 6 sasa ninaowakumbuka kila ambae nimesex nae nilimpa mimba, sasa je hii imekaaje katika kufyatua watoto namna hii na kwa umri wangu huu wa miaka 23 na nina watoto hai 4 na waliopotea 2?
Naombeni ushauri jinsi ya kupunguza huu mchezo.