Walioomba ushauri MMU ukawasaidia mtupe ushuhuda

jimmy jimble

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
216
216
Naam wanajamvi, wana JF, wakuu, waheshimiwa wenye hadhi yenu nawasalimu wakuu.

Naomba ambao mmewahiomba ushauri kuhusu mapenzi/mahusiano/uchumba au ndoa humu JF au mtandaoni popote na ukawasaidia katika mahusiano yenu mnyooshe mkono hapa na mtupe ushuhuda wenu. Wazungu wanasema "experience is the best teacher".

Tunawasubiri...
 
Humu Jf ni sehemu nzuri kutua mzigo ulionao na msaada wa kimawazo utapata....

Huko nyuma nilikua napitia machungu ya kuachwa na niliempenda kwamoyo wangu wote nikajiachia mzima mzima kwake...

Nilikaa na kinyongo na hasira iliyoambana na huzuni. Ila baada ya kuja kuomba ushauri humu hatimae moyo ukawa mwepesi na nikaanza kuchukulia mambo kimtazamo chanya furaha yangu ikarejea tena...

Hii Jf kwakweli idumu na idumu na kudumu. Imekua msaada mkubwa sana.
 
...halafu ukapata mwingine kupitia jf, haikukusaidia kupata mtazamo chanya? kidding
 
Humu Jf ni sehemu nzuri kutua mzigo ulionao na msaada wa kimawazo utapata....

Huko nyuma nilikua napitia machungu ya kuachwa na niliempenda kwamoyo wangu wote nikajiachia mzima mzima kwake...

Nilikaa na kinyongo na hasira iliyoambana na huzuni. Ila baada ya kuja kuomba ushauri humu hatimae moyo ukawa mwepesi na nikaanza kuchukulia mambo kimtazamo chanya furaha yangu ikarejea tena...

Hii Jf kwakweli idumu na idumu na kudumu. Imekua msaada mkubwa sana.

MIMI NILIWAHI KUOMBA USHAURI KUHUSU KUPATA MKE WA KIMASAI AMBAYE ANANYOA KIPARA BADALA YA KUSUKA ILI KUEPUKA GHARAMA ZA SALUNI,

BAADA YA SIKU 2 NIKAPATA JUMBE ZA MABINTI WANNE WA KIMASAI KUTOKA SIMANJIRO, BABATI NA WAWILI KATESH,
WAKINIOMBA NIENDE TUKAONANE TUZUNGUMZE KWA KINA.

ILA TATIZO NAULI!
 
Kama nauli ya kwenda babati huna Je mtaweza KUJILISHA Kweli?
Samahani Lakini
 
MIMI NILIWAHI KUOMBA USHAURI KUHUSU KUPATA MKE WA KIMASAI AMBAYE ANANYOA KIPARA BADALA YA KUSUKA ILI KUEPUKA GHARAMA ZA SALUNI,

BAADA YA SIKU 2 NIKAPATA JUMBE ZA MABINTI WANNE WA KIMASAI KUTOKA SIMANJIRO, BABATI NA WAWILI KATESH,
WAKINIOMBA NIENDE TUKAONANE TUZUNGUMZE KWA KINA.

ILA TATIZO NAULI!

Ww kweli n comedian
 
Ha haa we umeamua kutuchekesha naona
 
Humu Jf ni sehemu nzuri kutua mzigo ulionao na msaada wa kimawazo utapata....

Huko nyuma nilikua napitia machungu ya kuachwa na niliempenda kwamoyo wangu wote nikajiachia mzima mzima kwake...

Nilikaa na kinyongo na hasira iliyoambana na huzuni. Ila baada ya kuja kuomba ushauri humu hatimae moyo ukawa mwepesi na nikaanza kuchukulia mambo kimtazamo chanya furaha yangu ikarejea tena...

Hii Jf kwakweli idumu na idumu na kudumu. Imekua msaada mkubwa sana.
Bora wewe mimi nilijipeleka hadi barabarani nigongwe na gari lakini wapiiiiii....ila baada ya kulileta huku waungwana wakanitia moyo wengine wakaja pm kunifariji ndo ikawa pona yangu hadi leo naishi raha mustarehe....idumu jf
 
We kweli ulikuwa huogopi hizo speed za magari aseee... watu mpo vizur na kuchezea uhai...
 
Back
Top Bottom