PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Habari za mida hii wakuu
Kwa kweli kuna mdada mmoja hapa kitaa nampenda sana japo bado sijamwambia, nataka kwanza nimzoee kupitia urafiki tu then nimtamkie hisia zangu.
Lakini kinachonishangaza ni tabia yake ya kumsifia ex boyfriend wake ambae kaachana nae anadai anampenda sana na anashindwa kabisa kumsahau.
Kila nikikaa nae najaribu kumuonyesha hisia zangu kwake kwa vitendo lakinI naona haelewi kabisa. Ananikera sana muda mwingi anamzungumzia boyfriend wake sasa sijui kama mimi ashaniweka friend zone au.