Wale wakuingilia mapenzi ya watu

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
50,287
70,696
Nawaona nawaonaaa,,mapenzi ya watu hayakuhusu unayaingilia iliii upate ninii,,,unajua hao watu wametoka wapiii(au tumetoka wapii),,,wakikosana au kuachana roho zenu zinafurahii au unataka ujichomeke wewe unaona mwenzio anafaidii sehemu alipo ,,jua kwamba utawakosanisha,utawagombanishaaa wataachana,siku wakirudianaaa utaweka wapi uso wako wa kijuso na kiherehere chako cha mende kuvaa mkoti bila kifungo,,wenzenu wanaongea wakiwa uchii we unaongea huku umevaa wapi na wapiii ,,,acheni uchonganishii acheni watu wapendanee,,,tena wengi hufurahia kweli wakiskia fulani kaachwaa au kaachikaa hivi hamjui kuwa watu hurudiana
Wawili wakigombana shika jembe ukalimee waache wenyewe sio kuchonga makalio na mdomo na kuingiliaaaa ,,aibu itakupataaa ukiona haoo wamezamaa tenaa kwenye mapenzii ,
Alichokipanga Mungu mwanadamu katu huwezi kukitenganisha upooooo!!!!
Uzurii unamfanyia mwenzio hivi nawe si utaingia kwenye mahusiano tu lazima yatakukutaa tu
Oohhh flan kaachwaa ooh nahisi wengine mnafanya na sherehe,,,aibu yenuu wallah,,mapenzi hayaingiliwii acha wenyewe wakosanee,watukanane,,,waachane wenyewe usiingiliee hujui walipoanzia hukuwakutanisha,,hayaa sasa wamerudiana utatoaje mimacho halooo nicheke mieee
Am out
 
Bora waingilie mapenzi ya BINADAMU........maana mapenzi ya WATU waachie WATU eti....au kwa sababu WATU ni wengi alafu BINADAMU ni wachache...........................
 
JamiiForums ni sehemu ya kutoa ya moyoni pia (kwa sisi tusioweza kumface muhusika direct)
 
Si bure lazima kuna kitu tu, manake dina huwa anaanza hivi hivi alafu yanakuja kuibuka makuuubwa.... Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom