Ndugu wa kweli mama na baba yako tu!

Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
38,413
55,987
Habarini!

Mwenzenu yamenikuta Mimi mtoto wa marehemu mama!Leo kwa Mara nyingine tena nimeona umuhimu wa kua na mama yangu mzazi duniani
Nimedhulumiwa na ndugu kabisa wa mama yangu(mdogo wake wa mwisho)

Nilimuamini akaniuzia Kiwanja na madokumenti yotee yalikuwepo kumbe yeye na mumewe matapeli watupu wa mjini hapa

Kapesa kangu mwenyewe nilikapata baada ya kuuza kabebi'woka'changu baada ya gharama za maisha kupanda auntie akaniambia ana viwanja nikaingia 'kingi'nikajaa nikalia pesa yoteee..

Ingine nikannua huko kinyerezi kwa mtu baki nisiemjua kipo salama

Huku leo nimeenda mmiliki kafyeka eneo na kulilima nikifika kumuambia anasema hajui chochote kile kinachoendelea juu ya mauziano na yeye ndo mhusika wa pale

Kumpigia simu kumuuliza ma mdogo'anauma uma mdomo tu'loohhh!!

Ndugu hawa sina hamu nao ama kweli'zimwi likujualo halikuli likawisha'

Naumia jamani,au kwa kua wameniona mtoto wa kike?
Au kwa kua nguzo yangu haipo?
Au kajua siwezi kumshtaki na kumfunga?
Mpaka presha ilishuka Leo mwenzenuu!!!

Bora nisingeuza kumbe kibebi woka changu ningeacha kife tu nifanye screpa au ile pesa bora ningejenga heshima 'Mlimani city,shoppers plaza na kariakoo'

Nishaurini jamani nifanyeje'nna huzuni mno I wish my mom would be alive anifariji'nimeenda makaburini nimeliaa Leo kama ndo amekufa sasa hivi!

Ndugu wabaya jamani!
 
Kama document zote zipo na niza uhakika nenda mbele fuata haki yako.

Unaponunua kiwanja hata kama ni locally
1. Jitahidi wawepo mashahidi hata 5
2. Mwenyekiti wa mtaa
3. Na barua / hati ya mauziano

Kama hukufanya yote haya..pole saana.
 
Pole sana geniveros vipi kuhusu maandishi ya mwekiti wa kijiji Hamkufanya?
Japo ni gharama nafuu ila Kununua kiwanja kisicho pimwa hua ni hatari mno mda wowote unaweza geukwa sababu hakina Hati.
 
Pamoja na kusema hayo ila nakurekebisha kidogo.mtu wa kweli kwako siyo mama na baba.ni MAMA peke yake,uliza watu wengi walishalizwa na baba zao mala kibao ila MAMA mala zote ni mwaminifu kwa mtoto wake
 
Pole Maza House. Jaribu kuongea nao kupitia wazee wa familia/ukoo ili wakurudishie hela yako, ikishindikana nenda kwenye vyombo vya sheria. Au kama unaweza pia, wapotezee tu.

Kuna boya alisema 'money and blood don't mix, like 2 dciks and no b!cth / find yourself in serious sh!t /"...not so accurate, but it makes sense sometimes.
 
Kama documents za kuonesha uhalali nenda police sijui mahakamani vile

Kama ulivyosema ndugu wa kweli ni baba na mama yako tu basi uwezo wa kumfunga mama mdogo na mume wake upo

Na ndio dawa ya matapeli
 
Pole sana geniveros vipi kuhusu maandishi ya mwekiti wa kijiji Hamkufanya?
Japo ni gharama nafuu ila Kununua kiwanja kisicho pimwa hua ni hatari mno mda wowote unaweza geukwa sababu hakina Hati.
yaani alivyokuwa mjanja na ukimuona alivyo huezi amini km ni tapeli mpk feki maana mm siwajui kule ni mgeni!

kila kitu kipo nimefika pale ofisini wananiambia loohh!mmeliwa huyo uliyemkuta hapa siyo na tulishamtimua kwa kesi za utapeli hvyohvyo...!!
 
Kama document zote zipo na niza uhakika nenda mbele fuata haki yako.

Unaponunua kiwanja hata kama ni locally
1. Jitahidi wawepo mashahidi hata 5
2. Mwenyekiti wa mtaa
3. Na barua / hati ya mauziano

Kama hukufanya yote haya..pole saana.
vyote vilikuwepo Ila mashahidi ndo walikua wawili wadogo zangu pale serikali ya mtaa alikua na watu wake wote matapeli..yaani jamani acha tu
 
Back
Top Bottom