STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Usimlazimishe Kipofu kucheza drafti..
Kama amesema hakupendi tena na hamna future
pamoja using'ang'anie na kulia machozi.
Angalau
amekuwa mkweli kwa nafsi yake kwamba kwenye
Future plans zake wewe sio Shareholder, shukuru
Mungu kwa kutoswa maana huwezi jua huo Mtoso utakufungulia neema gani.
Kuna watu mnajifungia
kupata Future Husbands/Wives kwa kung'ang'ania
kudate na Matoroli wakati kuna Ferrari
zinawasubiri nje!
Na ukitoswa usisusie mapenzi, mapenzi
hayasusiwi, shukuru halafu acha mlango wako wazi mtu mwingine ajaribu Ku-Format previous
Files zenye Virus na Ku-Install New love in your
Heart... Tumia machozi yako when necessary, sio
unalialia tu kama Landrover ya Jeshi, kuna watu
mnawalilia hawana hata hadhi hiyo maana hata
kwenu hawajikuwajua wanafanana rangi gani! Moving on ndo mpango mzima, kujikwaa imo
bwana!