Isipokugusa basi tena hamna namna

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,196
NAKUMBUSHA TU TULIOZALIWA MIAKA YA 1980's

Mwaka Umri
1980 37
1981 36
1982 35
1983 34
1984 33
1985 32
1986 31
1987 30
1988 29
1989 28

Mdogo kabisa hapo ni mwenye miaka 28!

Bado hujaoa au kuolewa, kibaya zaidi unaishi kwa Wazazi wako, asubuhi ukiamka chai ya shikamoo, mnagombania vitumbua na wadogo zako na hata hujui maisha yana ugumu gani...Lol!

Jamani Wazee wenzagu tubadilike tuchukue hatua.

Next time nitataja na Orodha kabisa ya majina km walivyo Watuhumiwa wengine...
 
Peaneni maujanja madogo ...

Nakumbuka mi nilianza kujitegemea nikiwa 23 yrs ... hivyo ninao uwezo wa kuwashauri wale wanaotaka kuanza kujitegemea mapema .. kuna raha yake!
 
NAKUMBUSHA TU TULIOZALIWA MIAKA YA 1980's

Mwaka Umri
1980 37
1981 36
1982 35
1983 34
1984 33
1985 32
1986 31
1987 30
1988 29
1989 28

Mdogo kabisa hapo ni mwenye miaka 28!

Bado hujaoa au kuolewa, kibaya zaidi unaishi kwa Wazazi wako, asubuhi ukiamka chai ya shikamoo, mnagombania vitumbua na wadogo zako na hata hujui maisha yana ugumu gani...Lol!

Jamani Wazee wenzagu tubadilike tuchukue hatua.

Next time nitataja na Orodha kabisa ya majina km walivyo Watuhumiwa wengine...
hahahahaha bhana mkuu umewaza nini ?
 
1487930502134.jpg
 
Back
Top Bottom