Naitwa Peter Odada, miaka 31
Kabila Jaluo, Urefu cm 182, rangi maji ya kunde, elimu diploma ya biashara(CBE Dodoma)
Kazi biashara makazi Kilimanjaro.
SIFA ZA MKE
Awe na elimu kidato cha 4...
Rejea kichwa husika hapo juu...
Wiki iliyopita nilikuwa na SHOW na demu mmoja hivi na ilikuwa ni mara ya kwanza kusex nae.
Before game yenyewe nilijiamini kabisa nikajua naenda kutawala na...
Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.
Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani...
Habarini wakuu,
Naomba ushauri wenu,
Nina girlfriend wangu wa siku nyingi, hivi karibuni alinipa taarifa kuwa ana ujauzito wangu na alinionesha ushahidi nikathibitisha ana ujauzito kweli.
Mimi...
Hivi karibuni nimejifunza kitu ambacho sikuwahi kukijua hapo kabla na na nilikuwa na boss wangu na mara nyingi alikuwa anasoma mawazo ya watu kwa kuangalia body language.
Awali nilijua ni mchawi...
Wapendwa nawasalimu..
Kutokana na matukio ambaye yamekuwa yakijitokeza juu ya kusalitiana na wanawake kupenda kuwa na hulka ya kulipiza kisasi badala ya kuwa mwongoza nyumba..
Ni kabila gani...
Licha ya kwamba nilimpenda, kumjali na kumbembeleza kwa miaka sita mfululizo hakutaka kabisa kuelewa hisia zangu kwake! Hatimaye baada ya rafiki yangu aitwae x kunitembelea akamuona mtoto mzuri na...
Rejea kichwa cha habari,
Toka nimeoa sina raha na ndoa, napigwa na kunyanyaswa na mke wangu.
Jana tumefanya mapenzi nimewahi kumwaga kanipiga kisa hajafika kileleni.
Msaada tafadhali
Natokea Mwanza mke wangu ni teacher wa shule ya msingi, ndoa 1.5 years, wiki 2 zilizopita kulitokea mgogoro wa ardhi kuna mtu aliingia eneo langu taarifa toka kwa muagalizi wa shamba langu ilikuja...
Kwa mujibu wa wajuvi wa lugha, Mapenzi ni hisia za upendo kwa mwenza wako na mahaba ni vitendo vya kuyathibitisha mapenzi.
Ni kwamba mapenzi yako moyoni is emotional issue. You love and if you...
Khabar MMU?
Mbali na lile tatizo langu mie mtoto wa marehemu Khadija la yule baba wa kihindi kuning'ang'ania mie mtoto wa watu, hii sasa naona kama nuksi si nuksi bahati si bahati, looh ngachoka...
Habari za muda huu wapendwa.....
Bila ya shaka kila mmoja wetu anafahamu nguvu ya pendo....pendo linaweza kumfanya mtu afanye mambo ambayo....kamwe hakuwahi kuwaza kuyafanya......
Ningependa...
Sipendi kuoa kwakuwa sipendi kutoa mahari, maana sioni kwanini nitoe mahari wakati mimi, mke wangu na wakwe zangu wote tutakwenda kutegemeana kwa hali na mali. kwanini nipeleke ng'ombe zangu kwa...
ukiambiwa mapenz ya siku hiz hayana mana we elewa tu hivo..ikiwa wewe unayafulahia hongera zako..wengine tushatendwa tena huku stress hizi siwezi kuzibeba peke yangu so naitaji malafik wanaojua...
Ni mwanamke mwenye heshima sana, ni msafi wa kila kitu na mbana matumizi, ana ushauri mzuri wa kimaisha, anafahamu ku care hadi ananiogesha. Ukweli mapenzi anayajua hata tuwepo mchezoni...
1. Kama upo SINGLE na umekazana kusema "SIAMINI MTU KATIKA MAPENZI" kumbuka rafiki zako wanaoa na kuolewa kila siku. Acha mawazo hasi omba Mungu akujalie mwenza wa maisha ambae unaendana nae.
2...
Habari zenu ndugu zangu shaka mko poa,,
Kuna jambo linanisumbua naombeni ushauri wenu kabbilala sjafanya chochote ,,,ni hivi,kuna binti mmoja nilikua nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo...