Natamani mpenzi wangu achepuke,a 'experience the difference'

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,906
19,111
Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.

Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.

Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.

Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.

Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.

Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.
 
Weka kondom iliyotumika chumbani ,kwenye gari na suruali (zitawanyishe) na akukute nazo misimu tofauti
 
Yaani kuna wanaume wanapata Bahati halafu anaipiga teke huko badae unapata binti alietoa mimba zaidi ya tano mwenye mdomo balaa ndani hkukaliki. Ni wanawake wachache sana wenye bikira ukimpata oa fasta
 
Aiseee... Kwahiyo mkuu wewe unataka wale wa Kimboka..!!? Kweli nimeamini ule msemo wa penye miti hakuna wajenzi..!!
 
Unaumiza kichwa embu fanya kunipa mawasiliano yake nmuonyeshe dunia
 
dah nna mtihani kama huo bandugu, yani sijui hata nifanyaje , mi kiukweli sikumpenda nlimfuata kwa ajili ya bikra yake kwani sikuwahi kutoa bikra hapo kabla , yani dah inatia huruma kwa kweli
 
au unamzungumzia yule demu aliyekuwa ananisimulia jana usiku wa manane gheto kwangu kuhusu boy wake aliyemtoa usichana wake, na sasa anampango wa kumuacha huyo boy wake kwa kuwa kuna kashfa ya kuwa alikamatwa na mke wa mtu halafu akageuzwa kuwa mke baada ya fumanizi...! hahaha..!
Mkuu..! kama ndio huyo demu! aisee wala usiumize kichwa.. kashakutema yupo na mimi sasa
 
Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.

Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.

Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.

Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.

Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.

Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.
Mtu kama wew ni rahisi kuingia mbinguni, unajitambua kuwa uu mbwa mwitu na unahitaji kubadilika...unajua kuwa unamkosea kwani uko na group lako chafu.
Nimeipenda hii na kumsikitikia huyo binti sayuni aliyeharibiwa
 
Back
Top Bottom