kinjumbi
Senior Member
- Jun 5, 2016
- 102
- 47
Khabar MMU?
Mbali na lile tatizo langu mie mtoto wa marehemu Khadija la yule baba wa kihindi kuning'ang'ania mie mtoto wa watu, hii sasa naona kama nuksi si nuksi bahati si bahati, looh ngachoka mie.
Hivi hizi kazi za Hotel Management ndivyo zilivyo?
Toka niwe na jamaa angu wa kisambaa., hii trend yaniogopesha mie, toka nianze job natongozwa na wahindi au chotara au mzungu ni kwa nini jamani ? Kwani ukiwa receptionist ni lazima akikuona akutongoze? tena awe mweupe?
NB ;kashfa siyo nzuri naombeni ushauri niachane na hii kazi nitafute nyingine? Na kwa wale mabaazaz wanofikiri negative mi siyo mtoaji wa kubwa wala ndogo so naomba mjiheshimu mnapocomment.
Mfungo mwema jamani