mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,857
- 3,561
Licha ya kwamba nilimpenda, kumjali na kumbembeleza kwa miaka sita mfululizo hakutaka kabisa kuelewa hisia zangu kwake! Hatimaye baada ya rafiki yangu aitwae x kunitembelea akamuona mtoto mzuri na kuamua kumtongoza.
Huwezi amini, limgharimu rafiki yangu dakika tano pekee kuweza kumshawishi mpenzi wangu wafanye mapenzi na kukubaliwa! Sasa rafiki yangu anataka nimuachie ufunguo wa chumba tunachoishi ili wafanye lile tendo pendwa!
Kwa kweli lazima nikiri, nimeumia na kufadhaika mno, kwani nilimpenda na bado naendelea kumpenda mpenzi wangu. Je, wadau mnanishauri vipi hapo? Nimuachie jamaa chumba au niache maana sielewi cha kufanya kutokana na hii hali.