Joel Baadae
Member
- Jan 25, 2017
- 14
- 3
Habari zenu ndugu zangu shaka mko poa,,
Kuna jambo linanisumbua naombeni ushauri wenu kabbilala sjafanya chochote ,,,ni hivi,kuna binti mmoja nilikua nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo ,,nilipanga kumuoa kabisa baadhi ya ndugu zake wanalifahamu hilo tarehe 3/3 mwaka huu alipigia simu na kuniomba pesa kidogo anashida nayo pesa ni 50,000 ,,nikamjibu sina pesa kwa siku hio labda kesho njoo home uchukue,, hakujibu akakata simu
Sikua na presha yoyote nilijua kachukia kwa muda tu,,tangu hapo nikimpigia cm hapokei nikimtumia sms hajibu,,>ilipofika 14/2/ valentine day ,,alitumia siku hio kufanya jambo,, nikiwa nimerudi kwenye shughuli zangu nipo ndani nimepumzika ,,nkaskia mlango unagongwa nikaamka kufika nakutana na mtoto wa jirani wa kiume ameniletea bahasha akaniambia nimepewa kule nikuletee wewe nkasema sawa skujua ninani kamtuma yule mtoto ,Nikafungua na kuanza kusoma
Hakika ilikua siku mbaya sana kwangu kwakifupi aliniambia Mimi na yeye basi na tayari anabwana mwingine ,,kibaya zaidi akanitajia na jina la jamaa ambae namfaham,,
Basi niliumia sana na mbaya zaidi nilikua nikiwaona wakiwa pamoja nyakati za jioni nikirudi job,
hapo nilimkumbuka mungu wangu niliumia sana lkn ninapokutana nao nawasalimia kwa furaha mpaka wanashangaa tangu tar moja mwezi huu nimebadilisha njia staki kuumia bure,lkn wiki iliopita kanipigia cm sijapokea akatulia kanitumia sms kunisalimu nikamjibu akatulia,,sasa Jana kanipigia cm kwa namba nyengine akaniambia kuna kitu anataka kuniambia kesho nikamuuliza kitu gani akasema nitakuambia tukionana ,,,jioni ya Leo narudi job nakuta ujumbe kua amekuja kuniulizia sasa wadau nimfanyaje huyu dem Mimi ninahasira nae yeye hajui tu ,,,nikimtazama nakumbuka upuuzi alionifanyia inauma sana.
Nishaurini wadau nimkwepe vp huyu kwasababu nikionnana nae naweza kufanya jambo la ajabu nikapata matatizo
Link ipo hapo juu kujua zaidi nilivyo mpeda