Mpenzi au mke/mume ameyabadilisha vipi maisha yako?

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
18,900
36,222
Habari za muda huu wapendwa.....

Bila ya shaka kila mmoja wetu anafahamu nguvu ya pendo....pendo linaweza kumfanya mtu afanye mambo ambayo....kamwe hakuwahi kuwaza kuyafanya......

Ningependa kila mmoja wetu awe shuhuda wa jinsi mpenzi wake....au mkewe/mume alivyoyabadisha maisha yake......

Karibuni sana.....
 
mi leo msomaji maana mimi nilipata hasara tu na stress !****** sana yule jamaa atakufa macho wazi

Hapana binti
Mabadiliko ni mabadiliko.....yawe chanya au hasi.....sote tunafahamu....yule mwanamuziki wa kubwata bwata alivyombadilisha bibi Rehema Chalamila au Ray C kutoka kuwa mwanamuziki maarifu hadi kuwa mtumiaji wa madawa ya kulevya maarufu.....

Kinachotakiwa ni kujifunza kutokana na makosa......
 
Habari za muda huu wapendwa.....

Bila ya shaka kila mmoja wetu anafahamu nguvu ya pendo....pendo linaweza kumfanya mtu afanye mambo ambayo....kamwe hakuwahi kuwaza kuyafanya......

Ningependa kila mmoja wetu awe shuhuda wa jinsi mpenzi wake....au mkewe/mume alivyoyabadisha maisha yake......

Karibuni sana.....
So far hamna mpenzi aliebadilisha maisha yangu. They come and go im still the same person.
 
You know brother unapokuwa na mwanamke (mzuri) anaekuheshimu anakuelewa kukuonyesha upendo na kawakataa watu wasio wa level yako kama mwanaume unapata hasira eeeh.
Only that

That great.....
I know what it take to be a really gentleman......
 
So far hamna mpenzi aliebadilisha maisha yangu. They come and go im still the same person.

Feel sorry for you.......

Imekuwa bahati mbaya kwako......

Wapo watu wana simulizi tamu kuwahusu wenza wao...walivyoyabadilisha maisha yao.....

Naamini kuna mtu kwa ajili yako....never loose hope.....never give up.....
 
Back
Top Bottom