Msaada: Napigwa na mke wangu

bishororo

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
254
358
Rejea kichwa cha habari,

Toka nimeoa sina raha na ndoa, napigwa na kunyanyaswa na mke wangu.
Jana tumefanya mapenzi nimewahi kumwaga kanipiga kisa hajafika kileleni.

Msaada tafadhali
 
Vijana wa mikoani shida!
Kulia mnalia ninyi,kupigwa mnapigwa ninyi.....
Any way kafungue mashtaka kituo cha polisi ukishindwa tafuta kijana wa Dar akufundishe kuepukwa kupigwa na mwanamke
 
Rejea kichwa cha habari
Toka nmeowa sina raha na ndoa napigwa na kunyanyaswa na mke wangu.
Jana tumefany mapenz nmewahi kumwaga kanipga kisa hajafika kileleni msaad tafadhal
Na ww mpige,dawa ya moto ni kumwagia maji
 
Ustuletee nonsence humu. Yaan mwanaume mzima unapigwa na mkeo halafu unakuja kusimuliwa wanaume wenzako. Unataka tukufanyeje. Yaan anakupiga kwani wanawake wastarabu wameisha mtaani.
 
Wewe una kilo ngapi? Yawezekana huna body stamina na physic ya kutosha
 
Ustuletee nonsence humu. Yaan mwanaume mzima unapigwa na mkeo halafu unakuja kusimuliwa wanaume wenzako. Unataka tukufanyeje. Yaan anakupiga kwani wanawake wastarabu wameisha mtaani.
Ndo maana anaomba msaada mkuu,
 
Nikuunganishe na mtu anatoa mafunzo ya mapigo ya kichina?!inawezekana huyo mkeo ni mjeda,
 
Back
Top Bottom