Kwa wanaume tu

mindpower

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
1,049
1,211
Ukitaka kujua yu waafya tele uamkapo asubuh au laa, angalia vigezo hivi!
1. Ukiamka ujikute Uume umesimama imara bila ndoto nyevu yaani kujipiga bao ujue uko afya tele.
2. Ukiamka asubuhi Ume umesinyaa limesinzia tu, ujue ujue afya yako inatatizo hasa katika ulaji wako wa chakula na utulivu wa kisaikolojia.
3. Ukiamka umejipiga mabao usingizini, Ume umetepeta ujue afya yako inasumbuliwa na mashetani wahi maombi katoe ushuuda kanisani.
4. Ukiamka asubuhi Ume umesimama imara na kiu ya kupiga punyeto imekukabana ujue tayar afya yako ipo mikononi mwa roho ya mizimu na mashetani.
5. Ukiamka Ume umesimama imara na mavuzi yanawashawasha ujue afya iko tele na umri unataka mke!
 
Aisee
 
Wabongo hayo ndo wanayaweza.... Mpira hola ....marathon chali... Ngumi bila.. Njoo kwenye mambo ya kipuuzi ndo wana phd... Kazi kweli kweli..

.
 
Back
Top Bottom