Hey wanaJF habaz zen,natumai mko poa
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 21 na sjui ni bahati mbaya au nzuri ila iltokea mimi kujuana na mtoto wa mamkubwa wangu lakini upande wa mama. Yeye anadai ameanza nisikia siku nyingi habari zangu en she wish kunijua na siku moja akajaniona ma profle Facebook akafurahi sana na akanitumia mesag "mambo bro". Mimi nikaona sio ishu coz kaita bro mayb ananifaham au mimi ndugu yake coz hata mimi nilikuwa sijui her face namsikiaga 2.
Sa nikaangalia ha profile nikakuta ha number nikamchek basi naye akareply nikauliza wewe nani akanambia mimi mtoto wa mamkubwa wako akajitambulsha basi tukawa tunachati basi.
Tatizo limekuja alianza kukasirika incase nimechelewa kujibu mesage yake, nikajajibu analalamka mimi simpendi inaonekana anajipendekeza kwangu.
Mimi nikapotezea lakini naona kujali kukazidi na leo hi naongea ameamua kusema kwa watu yeye anajisikia kuhusu mimi, anadai ananipenda hatojisikia poa kama sitomkubalia ombi lake, means anataka kuwa na mimi, anasema ""undugu haujalishi masikioni mwake coz muda mwingine inabidi umpende hata ndugu yako "
Naombeni ushauri