Msaada wa mawazo ya haraka, How do I tell her she is HIV Positive?

safaree13

Senior Member
Jul 22, 2013
132
20
Huyu Msichana Nampenda Sana Naye Ananipenda pia Nimempima Bila Yeye Kujua kwamba ameathirika baada ya vipimo 2 tofauti kipimo cha kwanza ilionyesha -(negative)... Cha Pili +(positive) Na Mimi nimepimwa Vinaonyesha -(negative) Mara 2 Thou niliuza mechi Na Mahusiano ya Ngono Sio Ya Muda Mrefu..
 
Umefanya kosa la jinai kuingilia mwili wa mtu mpaka kutoa damu na kumpima bila ridhaa yake, akifahamu anao uwezo wa kukushtaki kisheria.
Nalielewa Hilo Yeye Hajui chochote Nimkimbie Au Niende nae Angaza Tukapime Au nichukue Vipimo Tupime nae tukiwa nae
 
Huyu Msichana Nampenda Sana Naye Ananipenda pia Nimempima Bila Yeye Kujua kwamba ameathirika baada ya vipimo 2 tofauti kipimo cha kwanza ilionyesha -(negative)... Cha Pili +(positive) Na Mimi nimepimwa Vinaonyesha -(negative) Mara 2 Thou niliuza mechi Na Mahusiano ya Ngono Sio Ya Muda Mrefu..
Mkuu kwa mtazamo wangu unataka kuleta strory, kumpima bila ya kujua mara mbili haiwezekani. hata kama wewe ni Dr wa Medicine, inawezekana mara ya kwanza ulimdanganya mambo ya typhoid mara ya pili ulimwambiaje? acha mbwembwe...
 
Bado kuna watu wenye roho mbaya. Wanasema kwanini nife peke yangu!? Anaingia mtaani anafanya maangamizi yake. Inatisha sana.
its sawa yeye Ajue? ana moyo mwepesi she can even kill herself navyomjua
 
Back
Top Bottom