Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 56,029
Habari za jioni wapendwa...!!
Naomba nianze moja kwa moja na mada yangu.
Hivi umeshawahi kuishi na jirani ambae anaruhusu watoto wake waingize wanaume ndani?
Wajukuu waingize wanawake zao ndani na kushindwa hata kukemea halafu sasa watoto wenyewe ni chini ya miaka 18 mpaka 20?
Yaani mzazi hata awakute vichochoroni hasemi anakaa kimya!!
Na huyo jirani ikatokea kijana wake ameanzisha mahusiano ya kimapenzi na ndugu wa kwako ila wewe kwa kua hupendi hizo tabia unazikemea kwa sauti kubwa wao kule hawaongei Ila wanaona kawaida tu tena yule binti wanamwita'mkwe,shemeji au wifi'halafu kabinti kanafunzi.
Mbaya zaidi ukisema weye kumtetea binti yako nyumba nzima wanakushambulia na kukuona mkorofi 'eti kwa nini unaingilia mahusiano yao' na wanakuona wewe ni mkorofi
Hebu nisaidieni hali kama hiyo utumie busara gani ili mambo yakae sawa.
Kwa sababu wao maisha yao ni kuingiza wanaume ndani,kusimama nao vichochoroni yao mbele ya wazazi wao ni kawaida hawakanyani hata kidogo.
Ila Mimi hayo maisha sina ya 'hovyo hovyo'halafu kabinti nikakokalea ndo kaharibiwa na kijana mmoja wapo.
Nishaurini nifanye maana huu mtihani sasa tena jirani wenyewe pua na mdomo.
Ahsantenii...nahitaji ushauri tafadhali...!!