Jinsia ya kuepuka tego la mke wa mtu

Jinsia ya kuepuka tego la mke wa mtu

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
1,583
Reaction score
2,702
Kama unataka kuchepuka na mke wa mtu na una mashaka kuwa anaweza kuwa na tego la Wewe kukufanya unase, muulize kwanza kama ktk maisha yake na mume wake aliwahi wakati wowote ule kukiingiza kisu ndani ya ala yake baada ya kukuta kimetolewa, akijibu ndiyo huyo usizini naye ujue tayari ana tego ukijaribu tu lazima unase.

Kama kuna maswali waulize MziziMkavu, mshana jr, na Rakims, mimi nilikuwa nawapa tahadhari tu.
 
Unatest n kidole ukiona kimenasa unatumia nguvu kukitoa ikishindikana tumia kisu kukata unaondoka na papuchi yke kwenye kidole chako....tuone nani mjanja
hahahaaaaa JF bhana ni hatari
 
Mmmh! Makubwa imefika mahala tunafundishana uasherati??
 
Kama unataka kuchepuka na mke wa mtu na una mashaka kuwa anaweza kuwa na tego la Wewe kukufanya unase, muulize kwanza kama ktk maisha yake na mume wake aliwahi wakati wowote ule kukiingiza kisu ndani ya ala yake baada ya kukuta kimetolewa, akijibu ndiyo huyo usizini naye ujue tayari ana tego ukijaribu tu lazima unase.

Kama kuna maswali waulize MziziMkavu, mshana jr, na Rakims, mimi nilikuwa nawapa tahadhari tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Unatest n kidole ukiona kimenasa unatumia nguvu kukitoa ikishindikana tumia kisu kukata unaondoka na papuchi yke kwenye kidole chako....tuone nani mjanja
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kidole hakinasi
 
Kuna rafiki yangu alikutana nae akamgeuza ikawa ndio mchezo wao
 
Back
Top Bottom