dedon
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,507
- 2,063
Dah wasichana ukikaa chini ukaanza kuwatafakari utacheka sana. Unakuta mko chuo dada ana dream za mwanaume awe bright darasan, six park mda huo anataman wenye vitambi akiamn ndo wenye pesa
Kuna mdada mwingne huyu alikua mshkaji tu ukimuuliza dream man wake kila siku anabadilika leo anataka mtu mwenye mpunga, awe anashnda nae full ukabaki kujiuliza hv inawezekanaje ukashnda full daily na manz then ukagain kipato
Muulize msichana achague kati ya mwanaume tajiri ana mbovu kitandani au masikini yuko vizuri kwenye sita kwa sita uone atakavyowaza bila majibu.
Mwisho wa siku mimi naaminigi ladies hawajui nini wanakihitaji ndo maana wanaishiaga kusema wavulana wote tumezaliwa na mama mmoja.