Holla,
Happy Sunday everyone...
I hope you are all fine, today am happy for myself. I don't have anything serious to share with you.... I know you are busy with Bashite issues. I don't want to...
Wakuu rafiki yangu hivi ninavyoongea ni mtu wa mawazo muda wote . Naombeni ushauri wenu kuna jamaa alimtongoza alipokataa akamwambia atamkomoa. Atafanya awezalo ili asiwe na mwanaume yoyote...
Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitatu kabla wakati tukiwa katika maandalizi ya Bashiri kuja nyumbani kuleta mahari miguu ilianza kuuma kiasi cha kushindwa...
Wakuu habari zenu,
Naandika hivi kwa uchungu! Maana nimeona yaliyomkuta dada mmoja.
Dada huyo aliolewa akiwa na mtoto wa kike sasa siku zikaenda mtoto akakua akaanza kidato cha kwanza.
Pia...
Kwanza niwasalimu wanajukwaa wote,
Amani iwe kwenu kama mimi nilivyojituma kuwaleteeni habari njema wadada,
Huu niukweli mtupu usiopingika wadada mmepoteza mvuto wa kimapenzi kwa wanaume licha...
Mambo vp wanaJF,
Naombeni ushauri nifanyaje kwasababu niliachana na msichana na sasahivi ameniambia ana mimba yangu na mimi nishaanzisha uhusiano na mwanamke mwingne na nampenda sana.
Habar ya jpili! Natumai wazima wote.
Nina manzi ambaye ni mpenzi wangu wa mda mrefu tu mchepuko ila alikuwa na matatatizo ya mahusiano kabla sijampata alinisumbua sana alidai ana mchumba mim...
Wadau naomben ushaur.
Mim ni kijan na nimekuw na binti ni mpnz wang kin mpaka wazaz wameshafaham yan kwet na kwao na nimewah at kumpelek hom ila haikiw uchumba official ni katik mbinu za...
Hlw, natumai mko wazima.
Napenda kupata marafiki humu, watu ambao ni matured kifikra na mambo mengine. Umri wangu ni 31, jinsia (Me), muajiriwa&mjasiliamali. Nazungumza kiswahili&kingereza...
Kabla hujafungua domo lako na kuanza
kumtongoza na kummwagia Sera zako na ahadi
zako nyingi kama Ilani ya CCM jifunze kwanza HOW
TO SATISFY HER.
Kama wewe ni Lawyer huwezi kuthubutu kuapply kazi...
Habari zenu wana janvi.., katika dunia hii hakuna palipoandikwa ni sehem gani unaweza kupata mke au mme., bali ni sehem yeyote unaweza kupata mwenza wa maisha yako ya hapa dunian.Kuna watu...
MWANAUME NI NANI? (sio mvulana tafadhali)
Mwanaume ni sehemu ya uumbaji wa Mungu, ambae huanza majukumu katika umri mdogo kabisa. Hutoa sadaka ndoto zake kwa ajili ya kuwafurahisha wazazi wake...
Baada ya kukumbwa na upepo wa kutumbuliwa kibarua changu, hali yangu kiuchumi imeyumba mno kwani kwasasa mambo yangu mengi hayaendi, wale waliokuwa wananitegemea ikiwemo mama mkwe wangu siwatumii...
Ndugu zangu wapendwa habari, let me go straight to the point, naomba mnishauri hapa mimi ni mwanaume, nina wapenzi wawili wote niko nao kwa muda mrefu ila mmoja ambaye simpendi sana huwa...
Habari wana JF,
Leo nimefikiria jambo moja kuhusu wanawake wengi wao wanakuwa na visababu sababu vingi na vingine hata havina mantiki pale wanapotongozwa huwa hawawezi kuweka wazi jibu la sitaki...
Last week nimezinguana na mchepuko wangu. Ilikuwa siku moja kabla sijasafiri kikazi mkoa mmoja unaosifika kwa baridi sana hapa nchini.
Alhamisi nikaamua kwenda kwenye duka la kampuni ya mtandao...
Habari zenu wana wa MMU!!! Kwa heshima kubwa, naombeni msaada wa mawazo.
Mimi ni mume wa mtu. Ila kabla sijaoa nilikuwa na mpenzi ambaye nilidumu nae kwa takribani miaka 4, lakini bahati haikuwa...