Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,042
- 39,996
Holla,
Happy Sunday everyone...
I hope you are all fine, today am happy for myself. I don't have anything serious to share with you.... I know you are busy with Bashite issues. I don't want to interrupt you .... napita tuu kimya kimya.
Someone is missed here........
Am looking for someone..... kuna ule michezo tulikuwa tunacheza wakati tuko wadogo tulikuwa tunaimba hivi....
Namtafuta mume wangu, namtafuta mume wangu.... wengine wanaitikia...
Hapa hayupo hapa hayupo...
Kaenda wapi, kaenda wapi...
Kaenda kuwinda kaenda kuwinda...
Panga kampa nani, panga kampa nani....
Kampa nanii hii kampa nani hii
Shoka kampa nanii shoka kampa nanii
Kampa nanii hii kampa nanii hii....
Huu mti gani, wa mchongoma...
Nikiukata haukataikiti
Hata kuwa shoka haukatiki
Hata kwa panga haukatikiiiii
Namtafuta wangu.... namtafuta wangu... yuko wapii.. ...
Kasie missed you alot.