Mimi ni kijana,33 years,nafanyakazi,mrefu kiasi,sio mweusi sana,mkristo,napenda kuangalia sinema na kusafiri,mazoezi na real estate. Natafuta msichana wa miaka kati ya 24-32 awe mpole na...
huwa najiuliza dada zangu mnaokubali kupigwa picha za uchi na wapenzi wenu hua akili zenu zinakuwa wapi mpaka mnafanya huu ujinga,unakuta mpenzi wako anakuambia nitumie picha ya utupu unamtumia...
Habari zenu?
Jamani mimi simuelewi mpenzi wangu kabisa. Tuligombana ugomvi mkubwa tu sababu ya jamaa mwingine kuingilia mapenzi yetu kwa wivu. Ugomvi huo ulipelekea mpenzi wangu kunitamkia kuwa...
Hello jf.
Jana nilikua zangu nacheck game ya man u vs middlesbrough,huyu shemeji/wifi yenu akawa ananipigia,asa kutokana na kelele zilizokua mahali pale sikuweza kumsikia vizuri akakata simu...
Naombeni ushauri,
Kuhusu hii hali mume wangu hataki kabisa ushike simu yake na simu zake zina password na ukimuomba kukutajia anakwambia kabisa hawezi maana kwenye simu zake kuna mambo ya ofisi...
Habari za saa hii wakuu..
Leo nimeona nisiwe mchoyo kushare hiki kidogo nilichokiokota okota huko mitandaoni katika swala zima la mahausiano. Watu wengi wamekuwa wakitamani kujua dalili za...
Salaam wana jukwaa,
Mimi mwanaume mwenzenu naomba Leo niwasisitizie jambo.
MWANAMKE anayekuhudumia na kukupa penzi haidhuru ukiita mahaba namaanisha akuvuliae nguo hata akiwa tajiri ni sharti...
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.
Mwanaume...
Nimejiuliza hili swali sijapata jibu,
Hivi kiongozi wa kanisa mwanamke mchungaji kwa kawaida kama hajaolewa na ikatokea umependa hivi unaanzaje anzaje kumuanza hadi akukubalie na je kabla...
Wakuuuu!
Natumani mpo vyema na naona kiki za bashite zina katika mdogo mdogo!
bashite atuhusu sana kwenye mambo yetu ya mapenzi na mahusiano, so ipo hivii
Wanasema mapenzi ni upofu na kama ipo...
Kuna msichana nimekuwa naye kwenye mapenzi takribani miezi 5,
Nikaamua kuachana nae baada ya kugundua hakuwa mkweli juu ya maisha yake kiujumla.
Sasa Baada kumwambia tuachane yeye alikubali ila...
Habari wana JF,
Kwa mnaokumbuka thread yangu ya kutafuta mke:
Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze
Nimerudi kuwakushukuru, nimepata mke mwema wa kufanana nae...
Habari zenu wana jukwaa,
Nimeanzisha Uzi huu si kwa utani bali ni kwa uhalisia na hisia za moyo wangu baada ya kuwa nimepitia mengi katika mahusiano.
Niliuambia moyo usukume damu ila...
Mabibi na mabwana! Sina shaka mko vema mida hii.... Tunakutana tena katika pillow talk
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka najua sio geni yumkini ulishasikia tena na tena ila sio mbaya...
.
Chanzo kikubwa cha baadhi ya matatizo tuliyonayo leo kinaweza kuwa ni maneno tunayopenda kuongea ongea?
Unaweza kuwa unapambana kweli kwenye ndoa yako ila mambo hayaendi. Au unapambana kweli...
Samahanini wana JF,
Naomba ushauri,
Nina mume nipo naye mwaka wa nne na tumepata mtoto mmoja wa kiume, lakini cha kushangaza nilipojifungua nimeenda kwetu kurudi nakuta anamwanamke mwingine na...
Habarini wanajamvi?
Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa na mpango wa kufunga ndoa hapo baadae.
Akaanza kunilalamikia kuwa anataka penzi langu lkn mimi sikuridhia kwasababu hii ni Sera yangu na...
Kuna mtu kaja kunichanganya na maupuuuzi yake, nahitaji misaada yenu mfikirie nje ya box na mimi plz
Mpuuzi: unajua Penny huko tunakoenda, kama dada zetu hawatoolewa sasa hivi itakuwa basi...
Siku ya leo nilienda kula katika mgahawa fulani hivi nikamkuta mhudumu moja akionekana macho mekundu kwa kilio, nikamuuliza kulikoni dada mbona upo katika hali hiyo? Akaanza kuniambia yeye aliwahi...
George Iron Mosenya
SEHEMU YA KWANZA
Naitwa Lusubilo Mwaipaja, marafiki zangu wengi walizoea kuniita kwa ufupi. Waliniita Lusu! Niliyafurahia maisha sana nikiwa mjini Mbeya na familia yangu kwa...