Natafuta Msichana wa Kumwoa

Facha Don

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
345
316
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26
Elimu ni Chuo kikuu.

Nimeajiriwa nipo kikazi Arusha.

Natafuta msichana wa Malengo nae atakae nipenda na nitakaempenda awe mama bora wa familia niwe baba bora wa familia.
Nitampenda maisha yangu yote
umri miaka 20-26 kunijua zaidi anicheki.

Hobbies: Music,Movies,Comedy,Hiking & Drawing, & joke

Food:Wali Samaki,Ugali Samaki,
 
Huko ulikotembea na waliokuona physically hakuna aliyewahi kuwa interested?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom