Kitchetche
Member
- Apr 2, 2017
- 71
- 77
Leo nmemtembelea manzi mmoja kwake (huwa tunasaidiana tukizidiwa na genye) nkakuta kuna vyupi kaning'iniza kitandani ila siyo ambazo nmezoea kumuona nazo akija kuntembelea ghetto, nlizo ziona kwake kidogo zimedumu tofauti na zile amazing nlizo zoea kumuona nazo akija kwangu.
Je wadada huwa mnazo za mtoko!?
Je wadada huwa mnazo za mtoko!?