Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,020
Hellows,hii tabia nimeiona sana kwa wanawake wezangu unakuta ana mtoto lakini akikutana na mwanaume mwingine na wakitaka kuanzisha mahusiano amwambii ukweli kuhusu mwanae wengine hudiriki hata kusema kua ni mdogo wake wengne mtoto wa ndg yangu hivi kwa wanawake wenye haka katabia mnaweza nambia kwann huwa mnakua hampend kufunguka na kama kwa wanaume pia hii kitu ipo mnaweza nambia why inakua hivo?