GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,426
- 120,782
Nijuavyo ni kwamba panapokuwa na huduma muhimu inayotolewa kwa Binadamu yoyote basi kiustaarabu tu na kwa kudumisha pia mila zetu za Kiafrika tulizoachiwa na Mababu na Mabibi zetu tunapashwa kuambiana asante au kushukuru.
Je pale ambapo ama Wapenzi wawili au Wachumba au Wanandoa wanapokuwa wanafanya tendo la Ndoa ( wakibanduana ) na wakishamaliza tu kusuuzana ni nani hasa hasa ndiyo anatakiwa kumwambia mwenzie neno la asante kwa huduma aliyoipata?
Naomba kuwasilisha na nitashukuru kwa majibu yenu.