Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,107
- 1,094
Habarini wapendwa,leo naomba niongee na single mom najua wengi hawakupenda hiyo hali but ndo ishakua hivo,jaman wapendwa mwanaume kukuzalisha halafu akawa na mwingine ina maana hajakupenda kwa hiyo epuka sana kurudia kumpa papuchi huyo kiumbe tena unakuta keshaoa ila akikuhitaji tu unampa eti tunakumbushia huo ni ujinga pia ni kosa kubwa unafanya pia jua huyo mwanaume atakudharau tu jaman usikubali kuwa wa dharura kama alishakuona hufai akaendelea na mwingine nawe fanya yako kama mume umeandikiwa kuwa nae one day utakua nae tu lakin sio kurudia kumvulia nguo mwanaume alokuzalisha na akakuacha akawa na mwingine huyo hafai muogope kama ukoma na usiruhusu kukutana nae kwenye sehemu chochez pale atapohitaji kumuona mwanae kutanen sehem open tena ikibidi uende na mtu usiwe pekee ili kutoruhusu maongez mengine nje ya mtoto.Amka sasa acha kumfurahisha huyo kiumbe ambaye hajui thaman yako kumbuka kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa piga goti sali omba Mungu akupe mume wa kwako acha kumvulia nguo huyo mzaz mwenza.