Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,520
Hili jambo limekuwa likinishangaza na kunistaajabisha, maana kwa nguvu aliyokuwa nayo mtoto wa kike mara nyingi akimwitaji kidume ni rahisi sana kumpata, kuliko kidume kikimtaka mtoto wa kike. Wanaume huwa ni ngumu sana kuwakataa watoto wa kike maaa hata kama mpendi basi utaamua ule mzigo tu.
Ila wao sasa dah mpaka akupe mashine?
Mpaka akutunuku kwa kweli!
Ila wao sasa dah mpaka akupe mashine?
Mpaka akutunuku kwa kweli!