hahahahhahahhahhahhahah ahahahahahhh!we mbayyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah we mbaya sana wewe!KHA!misukuosuko lol
Kutwa mara tatu!
sasa wewe hii ni movie ya wapi?bongo movie? lol
ah sa nimetafuta jina nimekosa si nimetunga jina mwenyewe!AU NITAFUTIE BASI LINALOFANANIA na hiyo theme yangu!:bolt:
ahahahahahhhah mimi got yu!kumbe hiyo kutwa mara nimerefer kwa current one!natakiwaniseme kwa x,mi nafikiri hiyo'' fungu la kukosa'' ndo poayes
unatafuta jina linalo enda
mfano kama yako ni 'fungu la kukosa' unaweka lol
ha ha haaa
ahahahahahhhah mimi got yu!kumbe hiyo kutwa mara nimerefer kwa current one!natakiwaniseme kwa x,mi nafikiri hiyo'' fungu la kukosa'' ndo poa
sio lazimabongo movie hata nollywood na hollywood
ninae ex ambae naweza kum title 'Titanic' lol
mh huyo hasahauliki huyo!never!
kama mpka hollywood basi mi ndo niwe idris alba kwenye ''obsession''
yeye kwangu bana!kha full kudate maname sake wangu!kha.mi nachokaaje!'obsession' ?
wewe kwake?
au yeye kwako?
Pls describe ua ex only wit movie titles..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
yeye kwangu bana!kha full kudate maname sake wangu!kha.mi nachokaaje!
Reply With Quote