Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 880
- 937
Sikia jamaangu wa JF, ukipata sketi humu Jf, muite getto, mpe jiko lilopgwa mvua na mabox yaliyolowa maji na mkaa wenye unyevu awashe moto.. mpe maharage yenye mawe achambue... mpe mchele wenye machuya mengi achambue.. then kisha apike.. mkishakula, Jioni saa 11 mpe 1000 ya nauli ya bodaboda na mwambie kesho arudi.. KAMA Kesho akirudi, huyo MUOE kabisa usimwache...